Christian Benteke akiiifunga Aston Villa bao kwa mkwaju wa penati katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliochezwa usiku wa kuamkia leo, uliomalizika kwa Villa kuichapa West Bromwich Albion mabao 4-3. Kwa matokeo hayo Aston Villa ipo nafasi ya kumi na pointi 27, huku West Brom wakiwa nafasi ya kumi na tano na pointi 22
Ngoja niwaonyeshe uwezo wangu. Benteke akiruka hewani




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni