Mahakama nchini Ufaransa
imetupiliambali mashtaka ya kufanya ngono na binti mdogo yaliyokuwa
yanawakabili wachezaji soka Franck Ribery na Karim Benzema.
Jaji wa Mahakama ametoa uamuzi huo na
kusema kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu wanasoka hao
kufahamu binti huyo Zahia Dehar alikuwa na umri chini ya miaka 18.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni