Manchester United waliandika bao la kwanza kunako dakika ya sita kupitia kwa Robin Van Persie ambaye naye amerejea baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu
Robin Van Persie akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao la kwanza kunako dakika ya sita. Bao la pili la Man U lilifungwa Ashley Young. Kwa matokeo hayo Manchester Uinited imeendelea kubaki katika nafasi ya saba ikiwa na pointi 40
MATOKEO MENGINE YA LIGI KUU:-
Crystal Palace 1 vs Hull City 0
Swansea 2 vs Fulham 0



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni