Arsenal usiku wa kuamkia leo wamekamatwa na Southampton baada ya kumaliza dakika 90 za mchezo wa ligi kuu Uingereza timu hizo zikiwa zimefungana mabao 2-2. Hata hivyo pamoja na matokeo hayo, Arsenal inaendelea kubaki kileleni ikiwa na pointi 52 ikifuatiwa na Manchester City wenye pointi 50, na nafasi ya tatu ipo Chelsea yenye pointi 49
LIVERPOOL YAFANYA MAUAJI, YAICHAPA EVERTON 4-0
Mchezaji wa Liverpool Danile Sturridge katikati akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufunga bao
Nahodha wa Liverpool Steven Gerald akishangilia bao dhidi ya Everton
Mlinda mlango wa Everton akiruka bila mafanikio kuokoa mpira ulioingia nyavuni na kuandika bao lingine kwa Liverpool, bao lililofungwa na Daniel Sturridge
Hadi mwisho wa mchezo Liverpool 4 Everton 0. Kwa matokeo hayo liverpool wapo nafasi ya nne wakiwa na pointi 46
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)








Hakuna maoni :
Chapisha Maoni