Kocha Jose
Mourinho ameituhumu klabu ya West Ham kwa kucheza soka la karne ya
19, baada ya kuibana Chelsea kutoka sare ya 0-0 hapo jana katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Chelsea ilifanya
majaribio 39 ya kufunga goli, wakati West Ham ambao walikuwa ugenini
wakijaribu mara moja huku muda mwingi wakitumia kujilinda wasifungwe.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni