Wachumba wawili wanaopendana kwa dhati, mwanamuziki mahiri Kanye West na mwanadada Kim Kardashian wametangaza kufunga ndoa yao mwezi wa sita mwaka huu.
Kim Kardashian mwenye miaka 33 amemtaka mchumba wake Kanye West ambaye ana aibu sana mbele ya Kamera siku hiyo hana jinsi itabidi awe tayari kumulikwa na Kamera, kwani E Channel watarekodi tukio hilo muhimu kwao na wamekubali kugharamia sehemu kubwa ya harusi yao.
Harusi ya wawili hawa itafanyika nchini Ufaransa
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni