Aliyekuwa rais wa
Misri Mohammed Morsi amefikishwa mahakamani Jijini Cairo kukabiliana
na shtaka la kutoroka jela mwaka 2011.
Morsi
aliyeng'olewa madarakani na jeshi Julai 2013 alifikishwa mahakamani
kwa helkopta akitokea gerezani huko Alexandria.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni