Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki
ya CRDB,Tully Mwambapa akiwa katika ibada hiyo.
Waimbaji wa Kwaya ya Vijana ya Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Msasani wakiimba nyimbo za kumsifu Mungu
wakati wa ibada ya shukrani, ambapo wafanyakazi wa Benki ya CRDB walitoa sadaka
katika kanisa hilo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni