Waziri mkuu wa Ukraine aliyejiuzulu Mykola Azarov
Waziri Mkuu wa Ukraine Mykola Azarov amelazimika kujiuzulu wadhifa wake huo huku bunge la nchi hiyo likikutana kwa kikao maalum kupiga kura ya kufuta sheria mpya inayozuia maandamano.
Wapinzani wanasema sheria hiyo kwa kiasi kikubwa imechochea mapambano ya maafa kati ya polisi na waandamanaji ambao wanaipinga serikali ya Rais Vicktor Yanukovych
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni