Mlinda mlango wa Kigamboni akiwania mpira na mchezaji wa Yombo Makangarawe
Timu za New Kivule Veterani (waliovaa Bluu) na Kitunda (waliovaa bluu nyeusi)
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akikagua timu ya Veterani ya
Yombo Kilakala wakati wa uzinduzi wa michuano ya maveterani ya Ujirani
Mwema, katika Kata ya Yombo Kilakala, Temeke, Dar es Salaam juzi. Timu
12 kutoka sehemu mbalimbali za jiji zilishiriki kwenye michuano hiyo.
Timu hiyo ilicheza na Kigamboni Veterani.
Mtemvu
akikagua timu ya Kigamboni Veterani. Kushoto ni Diwani wa Kata ya
Makangarawe, Victor Mwakasendile.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mtemvu
akihutubia wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo, ambapo aliahidi
kuyadhamini kwa timu zote kuzinunulia jezi za TMK. Kushoto ni
Mwakasendile na Mungia Mbwana mratibu wa michuano hiyo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni