Mwanamuziki Justin
Bieber anaonekana kusahau kitendo cha kukamatwa nchini Marekani,
wakati huu akiwa kwenye fukwe za bahari huko Panama akiponda raha.
Baada ya kukamatwa
kwa kuendesha gari kwa kasi akiwa ametumia dawa za kulevya huko Miami wiki
iliyopita, nyota huyo wa Pop aliamua kupata mapumziko Panama.
Justin Bieber akimpa mkono shabiki wake



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni