Walimu nchini
Kenya wamepinga sera mpya ya Wizara ya Elimu inayowataka kuwafundisha
watoto ambao ndio kwanza wanajiunga na Elimu ya Msingi kwa kutumia
lugha za makabila yao.
Walimu hao wa
Kenya wamesema sera hiyo sio tu ni ngumu kuitekeleza bali pia
inarejesha elimu nyuma.
Maafisa wa Chama
cha Taifa cha Walimu Kenya (KNUT) wameitaka Wizara ya Elimu kusitisha
sera hiyo na kuwashauri walimu kwanza kabla ya utekelezaji.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni