Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha George Boniface Tuguluvala
Simbachawene, kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wakati
wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Jan 30, 2014.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakia katika picha ya pamoja na Waziri na
Manaibu Waziri walioapishwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam,
leo Jan 30, 2014.




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni