.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 31 Januari 2014

KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA YATEMBELEA OFISI YA RAIS , TUME YA MIPANGO


SONY DSCMwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, Mhe. William Mganga Ngeleja akizungumza na watendaji na menejimenti ya Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakati Kamati yake walipotembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kukagua utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu.
Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dk. Philip Mpango akizungumza wakati wa Ziara hiyo. Wajumbe wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala walipotembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kukagua utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu. Wajumbe wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala walipotembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kukagua utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu.
  
Picha na Thomas Nyindo, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni