Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Finland Bw.Jyrki Katainen
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland Bw.Jyrki Katainen alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja,mazungumzo yao yaligusia zaidi
katika uhusiano na ushirikiano katika njanja mbali mbali za kijamii,(Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni