Basi lililokuwa limewabeba wanafunzi limepinduka mashariki mwa Thailand na kuua watu 15 wakiwemo wanafunzi 13. Basi hilo lilikuwa linaelekea katika mji wa Pattaya uliopo kilomita 150 kutoka mji mkuu wa Thailand, Bangkok.
Katika ajali hiyo waalimu 3 na wanafunzi 13 walipoteza maisha yao huku wengine 30 wakijeruhiwa vibaya

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni