.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 26 Februari 2014

FLOYD MAYWEATHER KUDUNDANA NA MARCOS MAIDANA MWEZI MEI

Bingwa wa dunia wa WBC wa uzito wa welterweight Floyd Mayweather atapigana na bingwa wa mkanda wa WBA Marcos Maidana katika pambano la litakalofanyika Mei 3.

Mayweather ambaye anarekodi ya kutopigwa aliwauliza mashabiki wake kupitia twitter kuchagua iwapo wanataka apigane na Amir Khan ama Maidana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni