.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Februari 2014

LIGI YA EUROPA, TOTTENHAM YAICHAPA DNIPRO 3-1

 Mshambuliaji wa Tottenham Emmanuel Adebayor akipiga saluti baada ya kufunga goli katika ligi ya Europa hapo jana walipocheza na Fc Dnipro, ambapo katika mchezo huo Tottenham waliibuka na ushindi wa mabao 3-1
 Adebayor akiweka bao kimiani huku mlinda mlango wa Fc Dnipro akiwa hana la kufanya 
                                                                                Vurugu
      Mwamuzi akimzawadia kadi nyekunduu mchezaji wa Dnipro Zozzulya

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni