.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 28 Februari 2014

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO MASHABIKI ZAKE, NI IJUMAA HII TENA PALE THAI VILLAGE

DSC_0303
Joniko Flower akiongoza safu ya Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.... Ni kila Ijumaa zote za wiki wanakuwa hapo kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki wake!!!
DSC_0253
Hashim Donode na Winfrida Richard wakitawala jukwaa huku wakisindikizwa na Digna Mbepera pamoja na Mary Lucos.
DSC_0173
Madiva wa Skylight Band wakisaka Dough....... Kutoka kushoto ni Winfrida Richard, Mary Lucos na Digna Mbepera.
DSC_0284
Babu Athumani akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0163
Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakisebeneka taratibu bila jasho..!!!
DSC_0322
Mheshimiwa Bundala akiwa na kijana wake Emmanuel Francis (wenye vest) wakisebeneka na midundo ya Skylight Band

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni