Majeshi ya Urusi yameshika doria katika viwanja vya ndege katika mji wa Crimea tangu nchi ya Ukraine iingie katika mgogoro mkubwa wa kiuongzi
Watu waliojihami wanaounga mkono majeshi ya Urusi ambao wanalidhibiti
bunge na mijengo ya serikali huko Simferopol, na makundi ya watu nje ya
maeneo hayo wanashinikiza kampeni yao ya kulidhibiti kisiasa kikamilifu
eneo la Crimea.
Kumekuwa na taarifa kuwa aliyekuwa Rais wa
Ukraine Viktor Yanukoovich, anasemekana kuonekana nchini Urusi baada ya
kutoweka kwa siku kadhaa.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni