.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 26 Februari 2014
MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya ukaribisho kwenye mkutano huo.
Wakurugenzi wa idara mbalimbali za mfuko wa Pensheni wa PSPF, mstari wa mbele, wakiwa miongoni mwa wajumbe wanaohudhuria mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana Februari 26, 2014
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinti, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto), akimkaribisha mjumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimatifa, John Haule alipowasili kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimtaifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, kuhudhuria mkutano mkuu wa tatu wa Mfuko wa PSPF wa wadau Februari 26.2014
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, akishuka kwenye gari lake, huku naibu waziri wa fedha, Adam Malima (kushoto), akiwa tayari kumpokea kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam jana, kufungua Mkutano Mkuu wa Tatu wa Wadau wa mfuko wa pesnheni wa PSPF.
Baadhi ya wajumbe wakifuatilia ufunguzi wa mkutano huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni