Rais wa Ukraine aliyeondolewa madarakani Victor Yanukovych
Rais wa Ukraine aliyepinduliwa Victor Yanukovych amezungumza kwa mara ya kwanza akiwa nchini Urusi alikopewa hifadhi na kuomba radhi kwa wananchi wa nchi yake huku akisema alishambuliwa na kufukuzwa. Rais huyo katika hotuba yake amesema ataipigania nchi yake hadi mwisho.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni