.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 12 Machi 2014

BAYERN MUNICH MATATANI BAADA YA MASHABIKI WAKE KUONYESHA BANGO LA KUMTUHUMU OZIL KUWA NI SHOGA


Timu ya Bayern Munich huenda ikajikuta matatani mbele ya UEFA baada ya baadhi ya mashabiki wake kuonyesha tambara lenye picha yenye maandishi ya kumdhihaki mchezaji wa Arsenal kuwa ni shoga.

Bango hilo lililoonyeshwa jana usiku katika kipindi cha pili cha mchezo wao wa Klabu Bingwa Ulaya liliandikwa “Gay Gunners” likiwa na picha ya mchoro wa kiungo Mesut Ozil mbele ya mzinga ambao ni nembo ya klabu ya Arsenal.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni