Picha ikimuonyesha nyoka akiwa amemmiliki mamba katika ziwa Moondarra. Nyoka huyu amekuwa gumzo sehemu mbalimbali duniani kutokana na kuchukua uamuzi huo wa kujitosa ziwani na kumkamata mamba na kumgeuza chakula chake, kwani pia mamba wanafahamika kwa ukali wao hasa wanapokuwa katika maji
Nyoka akiwa amemvuta mamba nje ya maji baada ya kumuua
Hapa akimmeza baada ya kumlainisha
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni