.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 3 Machi 2014

WAZIRI MKUU MH.PINDA AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA

PG4A0791 (1)  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,  Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)PG4A0816 
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa shughuli za Bunge Maalum  la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni