.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Machi 2014

JOHN KERRY NA SERGEI LAVROR KUZUNGUMZIA MUSTABALI WA UKRAINE

 Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry akipanda ndege mjini Kiev kuelekea Paris Ufaransa kwenye mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavror kuhusu mgogoro ulipamba moto nchini Ukraine.Marekani imekuwa ikiishutumu Urusi kwa kupeleka majeshi yake Ukraine, huku Urusi nayo ikisema ina wajibu wa kulinda maslahi yake na watu wote wanaozungumzi Kirusi waliopo Crimea
                                Meli ya kivita ya Urusi ikiwa katika pwani ya Crimea
Wananchi wa Ukraine wakiwa wanafuatilia habari za mgogoro wa nchi yao katika Tv kubwa iliyopo Independence Square

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni