.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 3 Machi 2014

KESI YA OSCAR PISTORIUS YANGURUMA JIJINI PRITORIA NCHINI AFRIKA KUSINI

Kesi ya mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius ya kumuua rafiki wake wa kike mwanamitindo Reeva Steenkamp imeanza nchini Afrika katika mji wa Pretoria.

Pistorius alimpiga risasi Steenkam ambaye ni modo na muigizaji wa kwenye runinga, nyumbani kwake Pretoria Februari 14 mwaka 2013.

Waendesha mashtaka wa serikali wanadai mauaji hayo yalipangwa, lakini mwanariadha huyo anayetumia miguu ya bandia amedai alidhani kuwa amevamiwa na mtu na ndipo alipomfatulia risasi mpenzi wake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni