.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 2 Machi 2014

LIGI KUU UINGEREZA, LIVERPOOL YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-0

Wachezaji Luis Suarez, Sterling na nahodha Steven Gerald jana walifunga bao moja moja na kuisaidia timu yao ya Liverpool kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza. 

Suarez alifunga dakika ya 16, Sterling aakaongeza la pili dakika ya 58 kabala ya Gerald kuhitimisha karamu ya mabao kwa kufunga kwa penati kunako dakika ya 90.
 Sterling akifunga bao la pili huku mlinda mlango wa Southampton akiwa hana la kufanya 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni