.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 1 Machi 2014

YANGA YAITANDIKA AL AHLY BAO 1 - 0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Al Ahly
Kiungo mchezeshaji wa Yanga,Haroun Niyonzima akitafuta namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Al Ahly ya Misri katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake. Yanga imeshinda bao 1 - 0
Kiungo mchezeshaji wa Yanga,Haroun Niyonzima akizuiwa na Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri,Ramy Abdel Aziz katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.
Yanga imeshinda bao 1 - 0
Kipa wa timu ya Al Ahly ya Misri,Sherif Ekramy Ahmed akida moja ya hatari iliyokuwa ikielekeshwa langoni kwake na Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Kiiza. Yanga imeshinda bao 1 - 0
Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi sasa.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika na hakuna timu iliyoona lango la mwenzake. Yanga imeshinda bao 1 - 0

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni