Watu waliokuwa na visu, wamewavamia na kuwaua abiria 29 na kuwajeruhi wengine 149 katika kituo kimoja cha treni kusini magharibi mwa mji wa kunming katika jimbo la Yunnan. Wavamizi hao kwa mujibu wa kamera zilizofungwa katika kituo hicho cha terni ni wanawake, ambapo mmoja alipigwa risasi na polisi na kufa papo hapo, mwingine kujeruhiwa huku wengine wakifanikiwa kutoroka
Baadhi ya miili ya abiria waliofariki katika shambulio hilo
Majeruhi akifarijiwa hospitali
Ulinzi ukiimarishwa baada ya kutokea kwa shambulio hilo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni