Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akifurahia jambo kwa kupiga makofi wakati wa mkutano huo wa ndani kulia ni Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini mama Delfina Mtavilalu.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akizungumza na waandishi wa habari kijijini Mgama mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo wa ndani.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisoma mambo muhimu yanayohusu uchaguzi huo kwa wana CCM.

Baadhi ya viongozi wa CCM katika ngazi ya vijiji na kata wakiwa katika mkutano huo
Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula ukiwasili katika kijiji cha Mgama
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni