.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Machi 2014

MAPAMBANO YA SILAHA YAIBUKA KWENYE KAMBI YA JESHI SUDAN KUSINI

Mapambano ya silaha yameibuka kwenye kambi kuu ya jeshi iliyopo katika Mjii Mkuu wa nchi ya Sudan Kusini, ambapo mapigano ya mwaka jana yalipelekea machafuko maeneo mengi.

Mwili wa mwanajeshi wa serikali umekutwa kwenye barabara nje ya kambi hiyo huko Juba. Mashahidi wameeleza watu katika eneo hilo wamekimbia kuokoa maisha yao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni