.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Machi 2014

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KWA TIKETI YA CCM GODFREY MGIMWA AZIDI KUJINADI KWA WANANCHI

1. MWENYEKITI wa Kitongoji cha Lupembelwasenga, Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya Chadema, Ezekiel KibikiMwenyekiti wa Kitongoji cha Lupembe lwasenga, Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya Chadema, Ezekiel Kibiki akikabidhi kadi ya chama hicho kwa Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Delfina Mtavilalo, baada ya kutangaza kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo katika jimbo hilo, leo Machi 4, 2014 katika kijiji hicho. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni