.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 2 Machi 2014

MILIPUKO MIWILI YAUA WATU WAPATAO 50 KWENYE MJI WA MAIDUGURI NCHINI NIGERA

Shirika la Mslaba Mwekundu limesema milipuko miwili iliyolenga basi kwenye soko la mji wa Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria imeua watu wapatao 50.

Vyanzo kutoka kwenye hospitali vimesema wengi wa waliodhurika na tukio hilo ni watoto.

Mji wa Maiduguri ni makao makuu ya vikosi vya jeshi vinavyopigana na kundi la Kiislam la Boko Haram, ambalo limezidisha mashambulizi yake kwa raia hivi karibuni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni