.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 2 Machi 2014

SERIKALI YA UKRAINE YAAGIZA VIKOSI VYA JESHI LAKE KUJIKUSANYA

Ukraine imeagiza kujikusanya kwa jeshi la nchi hiyo katika kujibu mapigo hatua ya Urusi kukusanya vikosi vyake katika jimbo Crimea.

Kaimu rais wa Ukraine Olexander Turchynov ameagiza kufungwa safari za anga kwa ndege zote za kijeshi.

Rais Barck Obama wa Marekani amEkiita kitendo cha vikosi vya Urusi kuwepo kwenye ardhi ya nchi hiyo kuwa ni uvamizi wa taifa lingine.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni