.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 2 Machi 2014

RONALDO AENZIWA KWA NGOMA YA SAMBA WAKATI BRAZIL IKIJIANDAA KWA KOMBE LA DUNIA


Katika kukaribisha michuano ya Kombe la Dunia Brazil, shule moja kubwa ya Samba ikidhaminiwa na mashabiki wa timu ya Corinthians wamemuenzi Ronaldo kwa maandamano huku wakicheza ngoma ya samba.

Akiwa amevalia suti ya rangi ya dhahabu na tai ya ushindi wa Kombe la Dunia mwaka 2002, Ronaldo alivutia wengi akiwa juu ya kiti pamoja na mama yake mzazi huku akilindwa na mlinzi mwanamke.
                                   Ronaldo akimbusu mama yake mzazi Sonia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni