Muonekano wa mke wa mwigizaji mahiri Forest Whitaker umeibua mjadala mkali miongoni wa mashabiki wa mcheza sinema huyo anayetamba kwa umahiri wake katika movie mbalimbali alizoshiriki.
Mke wa mkali huyo aitwae Keisha Whitaker alionekana mwili wake ukiwa umedhoofu mno alipokuwa na mumewe katika tuzo za Film Independent Spirit zilizofanyika katika ufukwe wa Santa Monica jumamosi iliyopita
Hapa ilikuwa jumamosi iliyopita 01 march 2014
Picha hii walipiga mwaka 2007



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni