Mwanamuziki mahiri nchini Marekani 50 Cent ameandika katika mtandao wa kijamii wa Instagram siku ya jumapili kuwa wanamuziki Diddy " Sean Combs " na Rick Ross " William Leonard Roberts II" ni mashoga huku akiweka na picha ikiwaonyesha wanamuziki hao wakiwa wamekumbatiana. Hata hivyo muda mfupi baadaye 50 Cent aliandika tena hana hakika na hilo alisemalo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni