Mshindi wa Samsung Galaxy tab3 kutoka Tunduma Mbeya Vedastus Kalinga akionesha zawadi yake mara baada ya kukabidhiwa mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.
Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles Masonga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu aina ya samsung Galaxy tab3 mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Mwl. Jacob Nnko, 36,kutoka Nansio Ukerewe katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki
Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles Masonga(kushoto) akimkabidhi zawadi ya king'amuzi mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Deus P. Mwikitalu kutoka Buhongwa jijini Mwanza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki,anayeshuhudia ni Meneja Mauzo wa eneo hilo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni