Licha ya Brazil kutokuwa na huruma kwa timu ya taifa ya Afrika Kusini kuipa kichapo cha mabao 5-0, Neymar ameonyesha ukarimu kwa mtoto mmoja wa shabiki soka aliyevamia uwanjani na kumzuia asisombwe na walinzi wa uwanja.
Mtoto huyo alinusuriwa na Neymar na kupata fursa ya kupiga picha naye na baadae kunyanyuliwa juu na wachezaji kadhaa wa Brazil, na baadae alibebwa na Neymar hadi nje ya uwanja huku mtoto huyo akiwa amejawa na furasa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni