Mamlaka ya Taifa ya Usafiri na Usalama ya Kenya imewataka wamiliki wa usafiri wa abiria wa Matatu kutumia njia ya majadiliano katika kutatua matatizo yao badala ya kukimbilia kugoma.
Mamlaka hiyo imeonyesha kukerwa na kitendo cha mgomo wa matatu uliofanyika jana kwa kuziba barabara za kutoka nje na ndani ya Jiji la Nairobi kupinga ushuru ulioidhinishwa na Gavana wa Nairobi Dk. Evans Kidero.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni