Watu sita wanaodaiwa kuwa ni wahalifu
wameuwawa kwa kupigwa risasi Jijini Nairobi nchini Kenya ndani ya
muda wa saa 12.
Watano miongoni mwao wamepigwa risasi
Express Kenya Limited eneo la viwanda huku wa sita akipigwa risasi
huko Ngara ambapo bastola feki ilipatikana.
Watuhumiwa hao wakiwa na silaha pamoja
bastola feki waliuwawa na polisi baada ya kudaiwa kukaidi amri ya polisi na
kutaka kupambana nao.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni