.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 2 Machi 2014

RAIS MUSEVENI AAGIZA WAWINDAJI HARAMU WENYE SILAHA KUPIGWA RISASI

Rais Yoweri Museveni amewaagiza walinzi wa mpaka uliopo kwenye Mbuga ya Taifa ya Kidepo Kaskazini Mashariki mwa Uganda kuwapiga risasi wawindaji haramu wanyamapori watakaokutwa na silaha.

Rais Museveni ametoa agizo hilo baada ya kuambiwa wawindaji haramu kutoka Sudani Kusini, na Turkana Kenya wamekuwa wakiingia mguga hiyo na kuwauwa wanyamapori, kuharibu mimea na wakati mwingine kuuawa watu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni