Meneja wa Newcastle United Alan Pardew amepigwa
faini ya paundi 100,000 na kupewa onyo kutokana na kitendo chake cha
kumpiga kichwa kiungo wa Hull City, David Meyler.
Kocha Pardew alipandwa na hasiri wakati
timu yake ikiwa tayari nyuma kwa mabao 3-1, na ndipo alipomvaa Meyler
kutokana na kujaribu kumuharakisha kurusha mpira wa adhabu ili
asipoteze muda.
David Meyer akicharuka baada ya kupigwa kichwa na kocha Alan Pardew
David Meyer akimshoonyeshe kidole Pardew, nikama anasema nitakufanyizia mimi.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni