Rais Barack Obama wa Marekani
amemuambia rais Vladimir Putin wa Urusi amevunja sheria za kimataifa
kwa kutuma vikosi vya nchi yake nchini Ukraine.
Katika mazungumzo yao ya simu
yaliyodumu kwa dakika 90, Rais Obama amemsihi Putin kuondoa vikosi
vyake huko Crimea.
Imeelezwa kuwa Putin alimjibu Obama
kuwa Urusi inahaki ya kulinda maslahi yake pamoja na wananchi
wanaozungumza Kirusi wanaoishia Ukraine.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni