.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Machi 2014

SHAHIDI WA KESI YA OSCAR PISTORIA APOKEA SIMU NA SMS ZA VITISHO

Shahidi wa upande wa Jamhuri Charl Johnson katika kesi inayomkabili mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistoria amesema amepata usumbufu kutokana na namna yake ya simu kusomwa hadharani kwenye Mahakama Kuu ya Gauteng Kaskazini.

Amesema kuwa tangu siku hiyo simu yake imekuwa ikiita mno na kupokea ujumbe wa vitisho na kumtuhumu kuwa kwanini amedanganya kuhusiana na tukio la usiku aliouwawa Reeva Steenkamp na mpenzi wake Osacr Pistoria.

Namba ya simu ya Johnson ilisomwa mahakamani siku ya Jumanne, jambo ambalo hakuwa analifahamu hadi alipoanza kupokea simu hizo na ujumbe wa vitisho.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni