.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Machi 2014

SINGAPORE MJI GHALI ZAIDI DUNIANI, UNAFUATIWA NA PARIS

 Jiji la Singapore limetajwa kuwa jiji ghali zaidi Duniani kuishi kwa mwaka 2014 na kuipiku miji mingine zaidi ya 131 duniani. Tarifa hiyo imetolewa na Economist Intelligence Unit.

Mbali ya Singapore, miji mingine ghali ni Paris, Oslo, Zurich na Sydney. Mji wa London haupo katika kumi bora
                                                                          Jiji la Paris
                                                                         Jiji la Zurich
 Hii ndio miji saba ( 10 ) ghali zaidi Duniani
1. Singapore                                     6. Tokyo, Japan    
2. Paris, France                              7. Caracas, Venezuela  
3. Oslo, Norway                              8. Geneva, Switzerland 
4. Zurich, Switzerland                 9. Melbourne, Australia
5. Sydney, Australia                     10. Copenhagen, Denmark





Hakuna maoni :

Chapisha Maoni