.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 3 Machi 2014

SHAMBULIZI MAHAKAMANI ISLAMABAD LAUA WATU 11 AKIWEMO JAJI NA MAWAKILI KADHAA

 Mpaka sasa watu 11 wameripotiwa kufariki kufuatia shambulizi la mtu mmoja kufyatua risasi katika mahakama moja katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad. Katika shambulio hilo, kati ya watu waliouawa ni jaji mmoja na baadhi ya mawakili ambao idadi yao bado haijajulikana. Pia watu wengine 24 wamejeruhiwa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni