Muigizaji Filamu Mkenya Lupita Amondi
Nyong'o ameweka historia kwa kushinda tuzo ya Oscar katika kipengele
cha muigizaji msaidizi wa kwa uhusika wake kwenye filamu ya 12 Years
A Slave.
Katika Tuzo hizo za 86 zilizofanyika
Los Angeles Lupita amemshinda Jennifer Lawrence ambaye alikuwa
anawania tuzo hiyo kwa uhusika wake kwenye filamu ya American Hustle
Lupita akipongezwa Angelina JolieLupita akiwa na sura ya furaha huku akipongezwa na Brad Pitt
Angelina Jolie akimkumbatia mume wake Brad Pitt katika tuzo hizo za Oscar
Cate Blanchet akiwa na tuzo yake
Lupita akicheza muziki na mwanamuziki Pharrell Williams






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni