Mchezaji Soldado jana aliisaidia timu yake ya Tottenham kujiweka pazuri katika msimamo wa ligi kuu Uingereza baada ya kuitumia vyema pasi ya Adebayo na kuukwamisha mpira wavuni na kuipa ushindi wa bao 1-0 timu yake ya Tottenham dhidi ya Cardiff. Kwa ushindi huo, Tottenham ipo nafasi ya 5 wakiwa point 53, huku vinara wa ligi hiyo wakiwa ni Chelsea wenye pointi 63, nafasi ya pili wapo Liverpool wakiwa na pointi 59



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni